Machapisho

pembetatu ya Bermuda (Bermuda triangle) na maajabu yake

Picha
Pembetatu ya Bermuda ( Bermuda Triangle ) ni eneo katika Bahari ya Atlantiki ikiwa inapakana na Florida ,Bermuda na Puertorico ambalo ni eneo la tarkibani km700,000. Sehemu ambapo meli na ndege nyingi zimepata kupotea katika mazingira tatanishi sana kiasi kwamba wanasayansi wameshindwa kuelezea kwa kina na kujikuta akisema pana maajabu yasiyoelezeka na hii ndio sababu ya kujulikana kama devil's triangle yaani pembetatu ya shetani   VYOMBO AMBAVYO VIMESHAWAHI POTEA BERMUDA   U.S Navy bomber Katika mazingira ya kutatanisha july1945 U.S Navy bombers tano zilizokua zimebeba watu 14 zikitokea Fort Lauderdale. Hizi zilikuwa zimepelekwa huko kwa ajili ya mazoezi na wanajeshi ila cha kushangaza zilikutwa zimetelekezwa. Inasadikiwa kwamba Compas ya kiongozi wa msafara huo ilishindwa kufanya kazi na wenyewe kujikuta wamepotea baada ya kuzunguka na kuishiwa mafuta na hata hivyo ndege iliyotumwa kwa ajili ya uokozi na yenyewe ilipotea ikiwa na watu 13 ndani. wal...